SWALI

Asalaam Aleykum warahmatulahi wabarakatuhu, mimi swali langu ni kuhusu Rukuu, ukiwa kwenye Rukuu macho unafaa kuangazia wapi? kunao wanao sema unafaa kuangalia unako enda kusijudu na wengine husema unafaa kuangalia vidole vya miguu zako. ni ipi sahihi naomba kufahamu. Shukran wabillahi tawfiq

Swali No. 58


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 58 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 28-01-2023-20:04:16 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA