SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #10 24-01-2023 10:17:16

Ila tarehe moja nikishirik tendo kabla mume wangu hajasafiri na ilitakiwa tarehe 18 mwezi huu nianze perio ila hadi leo sijapata period leo ni siku ya sita nimepitiliza

Baada ya kushiriki tendo nilipatwa na maumivu ya tumbo nikajua ni changamoto za akina mama pia ilipata joto kali likanipelekea kunywa maji ya barid sana na baada ya hapo nikawa najisikia mara joto mala kizunguzungu pia kula inakuwa shida

Tarehe 16 nilinunua kipimo kupima nikawa sina kitu nikategemea tarehe 18 nitaingia period ila hadi leo bado sijapata period

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 10

MASWALI YANAYOFANANA