SIO KOSA LAKO

SIO KOSA LAKO

SIOKOSA

Siokosa kwa mpenzi, kusoma tabia zako, Siokosa tangu enzi, nahayo yalikuweko, Siokosa saahizi, wala sionwe kituko, Siokosa nihalali, muache ajiridhishe, Siokosa kwa mkeo, kulijua chumo lako, Siokosa juwa leo, muambie namwenzako, Siokosa ndio cheo, anahaki hio kwako, Siokosa nihalali, muache ajiridhishe, Siokosa kwamchumba, kupima uwezo wako, Siokosa siushamba, vitabuni pia liko, Siokosa wala pumba, kuleta maswali kwako, Siokosa nihalali, muache ajiridhishe, Siokosa hilipia, kucheza na mkewako, Sikosa kukufanyia, japo madeko madeko, Sikosa akikwambia, apande mgongo wako, Siokosa nihalali, muache ajiridhishe, by.HD.Hassan




                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Mashairi Main: Burudani File: Download PDF Views 841

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

SABABU YA NENO LAKO

Sababu ya neno lako, nasema nimesikia,Sababu ya neno lako, nasema hongera pia,Sababu ya neno lako, nishajua yakonia,Wasema afukuzwae, sihadi pasemwe toka,Sababu ya neno lako, maumivu yanijia,Sababu ya neno lako, nami leo nakwambia,Sababu ya neno lako, sit

Soma Zaidi...
Kitabu Cha mashairi

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Soma Zaidi...
ndege wafikishe

NDEGE WAFIKISHE Hebu paa ndege paa, ufise habari hizi, Ufike wanako kaa, imi kufika siwezi, Paa bila kuzubaa, upae anga iwazi Naujumbe huu twaa, tekeleza hiikazi, Kawa pe utawafaa, wata po fa nyia kazi Kwa watakaokataa, usifanye lazimizi, Wambie lama

Soma Zaidi...