darasa la lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

darasa la lishe

1.VYAKULA VYA KUPAMBANA NA SARATANI

Kansa ni katika magonjwa yanayosumbuwa kwa kiasi kikubwa leo duniani. Kansa huweza kusababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo uvutaji wa sigara kwa 31%, vyakula kwa 37%, pombe kwa 3% na nyingine nyingi. Katika sababu hizi vyakula huchukuwa nafasi kubwa katika kusababisha kansa.

Mwaka 2015 watu milioni 90.5 waligungulika kuwa na kansa. Inakadiriwa kuwa kila mwaka takribani watu milioni 14.1 wanaupata kansa kila mwaka. Watu milioni 15.7 walikufa na kansa ambayo ni sawa na asilimia 15.7% ya vifo vyote mwaka huo.

1. VITUNGUU SAUMU ( GARLIC) Hivi vina kiasi kikubwa cha madini ya salfa (sulphur compounds) ambayo husaidia kuimarisha mfumo wa afya mwilini (immune system) Pia wanasayansi wanafahamu kuwa kitunguu thaumu kinasaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tumbo.

2. Samaki Tafiti za kisayansi zilizofanyika Australia zimegunduwa kuwa ulaji wa samaki mara 4 au zaidi humuepusha mtu na kansa ya damu ( blood cancers leukemia, myekoma, and non- Hodgkin's lymphoma). Samaki wanaoshauriwa zaidi ni wale wenye mafuta kwa wingi kama salmon.

Kama ilivyoosheshwa kuwa mpangilio mbovu wa vyakula na uvutaji wa sigara huchangia kwa kiasi kikubwa kupata kansa, leo tutakuletea baadhi ya vykula ambavyo vinasadikika kupambana na kansa. Vyakila hivi huweza kuzuia seli za kansa kutengenezwa ndani ya mwili na kutowa msaada wa kupambana na zo . Vipo vyakula vingi tuu lakini kwa uchache tunakuletea hivi kwa leo;-

3. Apple (maepo) Matunda haya yanafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kuuwa seli za kansa. Tafiti za kisayansi zilizofanywa nchini Ujerumani zinathibitisha uwepo wa procyanidins ambayo hufahamika kudhibiti seli za kansa kutengenezwa ndani ya mwili.

4. Avocado (palachichi) Matunda haya pia husaidia kwa kiwango kikubwa kupambana na seli za kansa. Fat iliyoko kwenye matunda haya huweza kusaidia kwa iwango kikubwa kupambana na kansa.

5. Kabichi ( cabbage) Kabichi hujulikana kwa kuwa na bioflavonoids kemikali ambazo hupambana na seli za kansa. Kabichi kusaidia kupambana na kansa ya tumbo kansa ya matiti na aina zingine za kansa.

6. Karoti ( carrots) Karoti zina alpha-carotene na bioflavonoids ambazo husaidia katika kupambana na seli za kansa. Karoti huweza kupambana hasa na kansa ya ini. Wanasayansi pia wanatahadharisha matumizi ya karoti kwa kiasi kikubwa kwa mtu anayevuta sigara.

7.Tende Tende hujulikana kuwa na polyphenols ambazo husaidia kupambana na kansa kwa kiwango kikubwa. Vitamin B12 na fiber katika tende husaidi kwa kuiwango kupambana na aina mbalimbali za kansa.

8. Mayai yana vitamin D kwa kiwango kukubwa. Vitamin hivi pia hufahamika kwa uwezo wake wa kupambana na seli za kansa.

9. Tangawizi

10. Komamanga

11. njegere MWISHO Tungependa kutoa ushauri kwa dada na ndugu hao ambao huvuta na kunywa pombe kwamba haya yote yana kemikali ambazo zinajulikana kwa kuwa na uwezo wa kusababisha kansa. Kwa hivyo wanapaswa kuchukua maandalizi kabla hali inakuwa mbaya zaidi katika afya yao.


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 999

Post zifazofanana:-

Hadhi na Haki za mwanamke katika jamii za kiafrika hapo zamani
3. Soma Zaidi...

Faida za kula Ukwaju
Zitambue faida kubwa za kula karanga kwa ajili ya afya yako Soma Zaidi...

Kitabu Cha Form Two Math
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...

Ukarimu na Sifa za kuwa Mkarimu na faida zake
30. Soma Zaidi...

English tenses test 001
Soma Zaidi...

Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako Soma Zaidi...

Zijuwe Faida za Kuwa na Istiqama (Msimamo Thabiti)
38. Soma Zaidi...

UPUNGUFU WA PROTINI NA FATI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Kitabu Cha Afya
Soma Zaidi...

darasa la afya
Soma Zaidi...

VITABU VYA AFYA
Soma Zaidi...

NGUZO ZA IMANI
Tunajifunza katika Qur-an na hadithi sahihi kuwa Imani ya Kiislamu imejengwa juu ya nguzo sita zifuatazo:1 Kumuamini Allah (s. Soma Zaidi...