Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu ugonjwa wa Bawasiri na dalili zake. Pia utajifunza njia za kujilinda nao.
Ndiyo, bawasili (au hemorrhoids) ni hali inayotokea pale ambapo mishipa ya damu katika eneo la haja kubwa (rektamu) au mkundu inavimba na kujaa damu, na mara nyingine inaweza kuwa na maumivu au kutoa damu. Ugonjwa huu unaweza kuwa wa ndani (internal hemorrhoids) au wa nje (external hemorrhoids).
Dalili za bawasili hutegemea aina yake, lakini kwa ujumla zinaweza kujumuisha:
Bawasili husababishwa na shinikizo kubwa kwenye mishipa ya damu ya eneo la haja kubwa. Sababu kuu ni:
Ndiyo, unaweza kuzuia bawasili kwa:
✅ Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi.
✅ Kunywa maji mengi kila siku.
✅ Epuka kushinikiza sana wakati wa kujisaidia.
✅ Kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuweka mfumo wa mmeng'enyo wa chakula katika hali nzuri.
✅ Kuepuka kukaa kwa muda mrefu bila kusimama au kutembea kidogo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Kaswende ni maambukizi ya bakteria kawaida huenezwa kwa kujamiiana pia ugonjwa huu hujulikana kama syphilis. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kwa kawaida kwenye sehemu zako za siri, rektamu au mdomo
Soma Zaidi...Post hii itakwena kukufundisha kuhusu historia fupi ya Ukimwi na matibabu yake. Ni wapi wapo hatarini kupata maambukizi na ni kitu gani wafanye?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe wa tishu za matiti kwa wavulana au wanaume, unaosababishwa na kutofautiana kwa homoni za estrojeni na testosterone. Pia unaweza kuathiri matiti moja au zote mbili, wakati mwingine bila usawa. Watoto wachanga,
Soma Zaidi...Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ambao kwa kitaalamu huitwa Dementia ugonjwa huu uwapata wale ambao umri umekwenda lakini kwa wakati mwingine Usababishwa na vitu mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha Dalili na ishara za kuvimba kope ambayo kitaalamu hujulikana Kama blepharitis.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya makende kushindwa t, hiki ni tatizo na huleta madhara
Soma Zaidi...Hapa nitakueleza namna ambavyounaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi ya ini. Kwa njia hizi unaweza kujikina wewe na wengineo na maradhi haya hatari ya ini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za mtoto Mwenye UTI,ni dalili ambazo uwapata watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitano.
Soma Zaidi...