SURA YA KWANZA

Hii ni game ya maandishi bila ya kutumia vioneshi (graphics). Uchezaji wake utakuwa unaletewa habari na kisha uchague jambo la kulifanya. Hapa tunatumia akili, busara na maarifa kuhakikisha tunashinda geme hii. Je! upotayari kucheza??

Ndio     Hapana