Faida za kula Kitunguu
Kitunguuu thaumu ni muhimu sana katika afya yako, je unazijuwa faida hizo? njoo pamoja nami
13.kitunguu saumu. Watu wamekuwa wakitumia kiungo hiki kwa kupikia toka enzi za mababu. Halikadhalika kiungo hiki kimekuwa kikitumika kama dawa kwa karne nyingu, maeneo mengi duniani. Utafiki unaonesha kuwa katika kitunguu saumu kuna βallicinβ hii husaidia katika kuimarisha mfumo wa kinga katika kupambana na maradhi mbalimbali. Tumia kiungo hiki kwa kupikia. Pia unaweza kutafuna punje zake. Watu wenye maradhi mablimbali wamekuwa wakitumia kiungo hiki na kuona mafanikio.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Simulizi za Hadithi Audio π2 Kitau cha Fiqh π3 Kitabu cha Afya π4 Dua za Mitume na Manabii π5 web hosting π6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Tabia na vyakula vya kundi B.
Posti hii inahusu zaidi tabia na vyakula vya watu wa kundi B,hawa ni watu wenye sifa za pekee na wanapaswa kupata vyakula vyao kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Dalili za ugonjwa wa maambukizi ya bakteria aina ya shigela.
Maambukizi ya bakterial aina ya shigela ni maambukizi ya utumbo unaosababishwa na familia ya bakteria wanaojulikana kama shigella. Ishara kuu ya maambukizi ya shigella ni kuhara, ambayo mara nyingi huwa na damu.
Soma Zaidi...Faida za mbegu za maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za maboga
Soma Zaidi...Sababu zinazopelekea kujamiina kwa uchungu (maumivu)
kijamiana kwa uchungu kitaalamu hujulikana Kama dysarthria ambayo inafafanuliwa kuwa maumivu ya mara kwa mara au ya mara kwa mara katika sehemu ya siri ambayo hutokea kabla tu, wakati au baada ya kujamiiana
Soma Zaidi...Uvimbe kwwnye jicho (sty)
Sty ni uvimbe mwekundu, chungu karibu na ukingo wa kope ambalo linaweza kuonekana kama jipu au chunusi. Sties mara nyingi hujazwa na usaha. Mtindo kawaida huunda nje ya kope lako. Lakini wakati mwingine inaweza kuunda kwenye sehemu ya ndani ya kope lak
Soma Zaidi...Watu wenye kundi O na tabia na vyakula vyao
Posti hii inahusu zaidi watu wa kundi O na vyakula ambavyo wanapaswa kula na tabia za watu hawa wana vyakula ambavyo wanapaswa kula na vingine hawapaswi kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...