Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa

Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa

 Faida za kiafya za mbegu za mronge (moringa)

1. mbegu za mronge zina virutubisho kama vitamini A, B na C. Pia zina madini kama madini ya calcium, chuma na pia kuna fata kama amino acid.

2. Husaidia katika kupata usingizi mwororo

3. Husaidia katika kuondoa tatizo la kukosa choo

4. Husaidia katika kuthibiti kiwango cha sukari kwenye damu

5. Ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma

6. Husaidia katika kuondoa tatizo la kupata maradhi ya anaemia yanayopelekea upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini

7. Hupunguza maumivu ya viungo

8. Husaidia katika kuuwa seli za saratani mwilini.

9. Husaidia kuboresha afya ya ngozi

10. husaidia kulinda afya ya moyo na mishipa ya damu.

11. Husaidia katika kulinda afya ya ini

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: General Main: Post File: Download PDF Views: 3307

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Fahamu Ugonjwa unaosababisha madhara kwenye mapafu

Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu

Soma Zaidi...
Sababu zinazopelekea kujamiina kwa uchungu (maumivu)

kijamiana kwa uchungu kitaalamu hujulikana Kama dysarthria ambayo inafafanuliwa kuwa maumivu ya mara kwa mara au ya mara kwa mara katika sehemu ya siri ambayo hutokea kabla tu, wakati au baada ya kujamiiana

Soma Zaidi...
Elimu juu ya afya ya uzazi

Makala hii itakwenda kukufundisha mambo mbalimbali na muhimu kuhusu afya ya uzazi

Soma Zaidi...