Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya
Faida za mbegu za papai
Mbegu za papai mara nyingi huliwa baada ya kukaushwa na kusagwa kuwa unga, pia unaweza kuzikaanga kidogo au kuzichemsha
1. Husaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kufanya kazi vyema
2. Hudhibiti ugonjwa wa saratani
3. hulinda Figo kufanya kazi vyema
4. Husaidia mwili katika kupambana na vijidudu vya maradhi
5. Husaidia kwa wenye kisukari
6. Husaidia kuondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini
7. Mbegu za papai zina virutubisho mbalimbali
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa Maambukizi kwenye mifupa, kwa hiyo tusipotibu tunaweza kupata madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...posti hii inaonyesha dalili na Ishara kuu ya utasa wa kiume ni kutokuwa na uwezo kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kuwa hakuna dalili nyingine dhahiri.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuandaa mbegu za maparachichi ili kutumika kama dawa,kwa sababu ya kuwepo kwa tiba kutokana na mbegu hii ni vizuri kujua maandalizi.
Soma Zaidi...Nahitimisha kwa kusema ili ufanikiwe katika kuwa mahili wa kutafuta taarifa mtandaoni au kujifunza chochote mtandaoni ni lazima uelewe kuwa borwser au kivinjali kwa kiswahili ndio kama njia ya wewe kuingilia tovuti yoyote ile duniani.
Soma Zaidi...ΓΒ Bakteria aina ya Salmonella huishi ndani ya matumbo ya watu, wanyama na ndege.ΓΒ Watu wengi wameambukizwa salmonella kwa kula vyakula vilivyochafuliwa na kinyesi.ΓΒ
Soma Zaidi...Kitunguuu thaumu ni muhimu sana katika afya yako, je unazijuwa faida hizo? njoo pamoja nami
Soma Zaidi...Utajifunza na kuelewa hata kama hauna computer kwa muda huo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kupiga punyeto, ni madhara yanayotokea kwa watu wanapenda kupiga punyeto.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu wa kundi O na vyakula ambavyo wanapaswa kula na tabia za watu hawa wana vyakula ambavyo wanapaswa kula na vingine hawapaswi kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...