Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai
Faida za mbegu za papai
? Mbegu za papai mara nyingi huliwa baada ya kukaushwa na kusagwa unga. Pia unaweza kuzikaanga kidogo ama kuzichemsha.
1. husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vyema
2. Husaidia kuzuia kupata saratani
3. Hulinda figo kufanya kazi vyema
4. Husaidia mwili katika kupambana na vijidudu vya maradhi
5. Husaidia kwa wenye kisukari
6. Husaidia katika kuondosha sumu za kemikali mwilini
7. Mbegu za papai zina virutubisho mbalimbali
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi tabia na vyakula wanavyopaswa kutumia watu wenye damu ya kundi AB
Soma Zaidi... Bakteria aina ya Salmonella huishi ndani ya matumbo ya watu, wanyama na ndege. Watu wengi wameambukizwa salmonella kwa kula vyakula vilivyochafuliwa na kinyesi.ÂÂ
Soma Zaidi...Nini malengo ya elimu katika uislamu(EDK form 1, malengo ya elimu katika uislamu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona
Soma Zaidi...Kukatika kwa nywele kunaweza kuathiri tu kichwa chako au mwili wako mzima. Inaweza kuwa matokeo ya urithi, mabadiliko ya homoni, hali ya matibabu au dawa. Mtu yeyote wanaume, wanawake na watoto anaweza kupoteza Nywele.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu wa kundi O na vyakula ambavyo wanapaswa kula na tabia za watu hawa wana vyakula ambavyo wanapaswa kula na vingine hawapaswi kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...