Alif lela ulela

Posti hii inakwenda kukusimulia hadithi za alifu lela ulela

ALIF LELA U LELA.

 

UTANGULIZI

Hizi ni hadithi zilizoenea duniani kote na zimekuwa zikisimuliwa kwa watot na hata watu wazima. Hadithi hizi zina asili ya bara la arabu. Hadithi hizi zimekuwa zikitafasiriwa kwenye lugha nyingi sana. Neno ALIF LELA U LELA lina maana miaka elfu moja na moja. Na hadithi hizi hufhamika kwa lugha ya kiingereza kama ARABIAN NIGHT.

 

Hadithi hizi zimetafasiriwa katika lugha nyingi mpaka katika lugha za kiswahili. Changamoto ya masimulizi haya ni kuwa yamesheheni lugha ngumu sana kulinganisha na uhalisia wa maisha yetu ya leo. Hivyo inakuwa vigumu kuelewa baadhi ya manenno nini hasa kimekusudiwa. Pia tamaduni zilizotumiwa na wahusika wa hadithi hizi ni za kiarabu, kihindi na kiajemi kiasi kwamba ni ngumu kuelewa baadhi ya vipengele.

 

Baada ya kuliona hili nimejaribu kutohoa hadithi hizi na kuziweka katika lugha iliyo rahisi kabisa na inayoendana na mazingira ya wakati huu

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Aliflela2 Main: Burudani File: Download PDF Views 1912

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Harusi ya aladini na binti sultani

Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu

Soma Zaidi...
Jaribio la kwanza la aladini

Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu

Soma Zaidi...
Ujumbe wa Siri kwenye kitabu cha ajabu

Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu

Soma Zaidi...
Utajiri wa baba na kifo chake

Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani

Soma Zaidi...