image

Njia za maambukizi ya Homa ya inni

Posti hii inahusu zaidi njia za maambukizi ya Homa ya inni, Homa ya inni usababishwa na virusi viitwavyo Hepatitis B, huwapata watu wote hasa wale wenye umri chini ya miaka mitano.

Njia za maambukizi ya Virusi vya Hepatitis B.

1. Njia ambazo virusi vya Hepatitis B uenea ni kama zinafanana na njia za virus vya Ukimwi kwa hiyo tujitahidi kujua namna Homa ya inni inavyoambukizwa tunaweza pia kuepuka ugonjwa huu na kuweza kuishi kawaida pasipo Ugonjwa huu .

 

Kwa hiyo Tunapaswa kushika masharti katika kupambana na Homa ya inni hasahasa kupata chanjo ya Homa ya inni kwa sababu unatolewa bure kwa watoto Ila watu waziy ni malipo. Kwa hiyo tunapaswa kujua njia za maambukizi kama vile.

 

2. Kumwongezea mtu damu, kutoka kwa mwenye virusi vya ugonjwa huu kwenda kwa yule ambaye Hana.

 

Kwa hiyo kabla ya kumwongezea mtu damu kitu Cha kwanza anapaswa kupima Ili kuangalia kama Kuna maambukizi kwenye damu, baada ya kuona kama kuna maambukizi kwenye damu , mtu hasipewa damu hiyo, 

 

3. Mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua au mtoto akiwa tumboni kwa mama.

 

Ugonjwa huu wa inni unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia kwa Mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua au wakati mtoto akiwa tumboni kwa mama  kwa hiyo mama akiwa anna mimba anashauliwa kupima ugonjwa wa inni Ili kuhakikisha afya yake na kuepuka hali Ile ya kumwambikiza mtoto.

 

Pia na wakunga wanapaswa kuwa macho wakati wa kumzalisha Mama Ili kuepuka kuendelea kuleta madhara kwa Mtoto na jamii kwa ujumla.

 

4. Maambukizi ya Homa ya inni yanaweza  kupitia kwenye sehemu za uwazi kama vile kwenye vidonda,michubuko na Kuna wengine wanaweza kupata kupitia kwa jasho la mwilini kama likigusana na sehemu ya uwazi.

 

5. Kufanya ngono zembe.

Pengine ugonjwa huu unaweza kupitia kwenye ngono zembe kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kupitia kujamiiana kwa hiyo watu wanapaswa kutumia kondomu wakati wa kujamiiana Ili kuepuka hali ya kusambaa kwa ugonjwa huu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, na pia elimu inabidi kutolewa kwa jamii Ili kuepuka madhara makubwa zaidi ya kuenea kwa ugonjwa wa Homa ya inni.

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 867


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Ndugu mke Wang viungo vina mlegea miguu inamuaka moto nn tatozo
Je unasumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu, kuchoka ama kuhisi viungi vinelegea. Endelea na post hii. Soma Zaidi...

Matibabu kwa mtu mwenye kiungulia
Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia Soma Zaidi...

Dalili za UTI upande wa wanawake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake Soma Zaidi...

Fangasi wa sehemu za Siri
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Senene
Soma Zaidi...

YAJUE MARADHI YA KISUKARI
Posti hii itakwenda kuelezea mambo machache kuhusu ugonjwa wa kisukari Soma Zaidi...

Dalili za Pua iliyovunjika
posti hii inahusu dalili za Pua iliyovunjika, pia inaitwa fracture ya pua, ni kuvunjika au kupasuka kwa mfupa katika pua yako Soma Zaidi...

Athari za kutotibu fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi Soma Zaidi...

maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?
Dr huwa nasikia maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo? Soma Zaidi...

Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...

Namna Maambukizi kwenye milija na ovari yanavyotokea
Post hii inahusu zaidi namna Maambukizi kwenye milija na ovari ambayo yanatokea,Mara nyingi usababisha na bakteria wanaoweza kuingia kupitia sehemu mbalimbali. Soma Zaidi...

Namna ya kugundua mtu mwenye kaswende.
Post hii inahusu zaidi njia za kumgundua mgonjwa wa kaswende, njia hizi utumika baada ya kuongea na mgonjwa kuhusu maisha yake hasa kujamiiana na watu mbalimbali. Soma Zaidi...