Imam Nasai na kitabu cha Sunan
Sunan ya an-Nasai
An-Nasai ambaye jina lake kamili ni Abu 'Abdur-Rahman
Ahmad bin an-Nasai alizaliwa katika mwaka 214 A.H na kufariki
303 A.H./315 A.D. An-Nasai alikuwa mwanafunzi wa Abu Dawud na Hadith za kitabu chake kinachojulikana kwa jina la "Sunnan" amezipanga katika muundo alioutumia mwalimu wake.
Kazi ya an- Nasai katika ukusanyaji Hadith imekuwa ni kazi muhimu sana kwa Uma wa Kiislamu lakini kwa kuwa hakuwa mwangalifu sana katika uchujaji wa Hadith sahihi, kazi yake imeangukia katika kundi la Hadith za daraja la pili. Baadhi ya Hadith za kitabu hiki ni dhaifu na zenye kutiliwa mashaka zilizo simuliwa na watu wanaotiliwa mashaka.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Bongolite - Game zone - Play free game π2 Dua za Mitume na Manabii π3 web hosting π4 ai web app π5 kitabu cha Simulizi π6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Historia ya Dhulqarnain
Dhulqarnain sio jina la mtu bali cheo, maana yake ikiwa: βMwenye Pembe Mbiliβ.
Soma Zaidi...Ukasha bin Mihsan ni Sahaba aliyechangamkia Fursa
Katika somo hili utakwnda kujifunz anamna nambavyo Sahaba Ukasha alivyochangamkia fursa katika mambo ya heri
Soma Zaidi...