picha

mambo gani ni haramu kwa mwenye damu ya Hedhi na nifasi (damu ya uzazi)

mambo gani ni haramu kwa mwenye damu ya Hedhi na nifasi (damu ya uzazi)

Hadathi Kubwa:



Hadath kubwa huwapata wanawake tu wanapokuwa na Hedhi (damu ya mwezi) au Nifasi (damu ya uzazi).
Yafuatayo yameharamishwa kwa wenye hadath kubwa:



(i)Kusali na Kutufu.
(ii)Kukaa Msikitini.
(iii)Kusoma Qur’an, kugusa na kuchukua msahafu (Qur-an)
(iv)Kufunga.
(v)Kufanya kitendo cha ndoa.
(vi)Kutalikiwa (kupewa talaka).



Namna ya kujitwaharisha na hadath ya kati na kati na hadath kubwa ni kukoga kwa maji safi kwa kutekeleza masharti na nguzo za kukoga josho la wajibu.



Masharti ya Kuoga
Masharti ya kuoga ni sawa tu na yale masharti ya udhu ila hapa yanahusu mwili mzima.




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views 3565

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 ai web app     πŸ‘‰2 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰4 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰5 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Jinsi ya kutekeleza funga za sunnah

Hapa utajifunza muda wa kutia jia katika funga za sunnah. Pia utajifunza kuhusu uhuru ulio nao

Soma Zaidi...
Mambo yanayobatilisha funga au yanayoharibu swaumu.

Hapa utajifunza mambo ambayo akiyafanya mtu aliyefunga, basi funga yake itaharibika.

Soma Zaidi...