swala za tahiyatu al masjid, qabliya na baadiya
Muislamu anapoingia Msikitini kabla hajakaa anatakiwa aswali rakaa mbili za maamkizi ya msikiti, Tahiyyatul-Masjid.
1.Swala ya Maamkizi ya Msikiti
Muislamu anapoingia Msikitini kabla hajakaa anatakiwa aswali rakaa mbili za maamkizi ya msikiti, Tahiyyatul-Masjid.
2.Swala za Qabliyyah na Ba’adiyah
Swala hizi za Sunnah huswaliwa kabla na baada ya swala za faradhi. Swala hizi zimegawanyika katika mafungu mawili, zile zilizokokotezwa sana, Mu’akkadah na zile ambazo hazikukokotezwa sana, Ghairu Mu’akkadah.
Sunnah ambazo ni Mu’akkadah ni zile ambazo Mtume (s.a.w)
hakuacha kuzitekeleza hata mara moja katika hali ya kawaida. Ghairu Mu’akkdah ni zile sunnah ambazo wakati mwingine Mtume (s.a.w) aliacha kuzitekeleza. Swala za Sunnah za Qabliyyah na Baadiyah zilikokotezwa (zilizo Mu’akkadah) na zisizo kokotezwa (zilizo Ghairu-Mu’akkadah) zimebainishwa katika jedwali ifuatayo ikiwa ni pamoja na idadi ya rakaa ya swala hizo:-
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 ai web app 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Athari na faida za kumuamini Allah katika maisha ya mwanadamu duniani na akhera
Athari za Kumuamini Mwenyezi Mungu (s.
Soma Zaidi...MAANA YA HADITHI SUNNAH
Maana ya SunnahKilugha: Neno sunnah katika lugha ya Kiarabu lina maana ya mwenendo au mila.
Soma Zaidi...MAANA YA HADITHI SUNNAH
Maana ya SunnahKilugha: Neno sunnah katika lugha ya Kiarabu lina maana ya mwenendo au mila.
Soma Zaidi...