Mwenendo wa Mtu aliyetoa Shahada

Mwenendo wa Mtu aliyetoa Shahada

Muislamu aliyetoa shahada ya kweli hanabudi kumfanya Mtume (s.

Mwenendo wa Mtu aliyetoa Shahada

Mwenendo wa Mtu aliyetoa Shahada


Muislamu aliyetoa shahada ya kweli hanabudi kumfanya Mtume (s.a.w) kuwa kiigizo chake kimwenendo na kitabia. Mtume (s.a.w) alikuwa na tabia njema kabisa kama tunavyofahamishwa katika Qur’an:


“Na bila shaka (Wewe Muhammad) una tabia njema kabisa.” (68:4)


Mtume (s.a.w) mwenyewe amewahimiza waumini kujipamba na tabia njema kama tunavyojifunza katika Hadithi zifuatazo:


Abdullah bin Amr (r.a) ameeleza kuwa Mtume wa Allah amesema: “Aliye kipenzi changu kuliko wote katika nyinyi (Wa is lam u) ni yule aliyew azidi kwa tabia njema”. (Bukhari)


Harithat bin Wahab (r.a) ameeleza kuwa Mtume w a Allah amesema: “Yule ambaye tabia yake ni mbaya na katili, hataingia Peponi”. (Abu Daud)


Abu Hurairah (r.a) ameeleza kuw a Mtume w a Allah amesema: “Mw enye imani iliyopea katika Waislamu ni yule mwenye tabia njema, na aliye mbora katika nyinyi ni yule anayemtendea wema mkewe”. (Tirmidh)


Abu Darda (r.a) amesimulia kuwa Mtume (s.a.w) amesema: “Hapana kitu kitakachotia uzito katika m izani ya Muum ini katika siku ya hukum u kuliko tabia njema...” (Tirmidh)


Abu Hurairah (r.a) amesimulia kuwa Mtume (s.a.w) aliulizwa juu ya mambo yatakayopelekea watu wengi kuingia Peponi. Alijibu Mtume: “Uchaji - Mungu na tabia njema”. Kisha akaulizwa tena: “Ni mambo yepi yatakayompelekea m tu kuingizw a Motoni? ” Alijibu Mtum e, “Mdom o n a tup u (viungo vy a s iri)”. (Tirm idh)


Hivyo, muumini wa kweli hanabudi kujipamba na vipengele vya tabia njema vilivyoainishwa katika Qur-an na Sunnah. Katika juzuu hii


 


tumerejea vipengele vya tabia njema vifuatavyo:




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 3237

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 web hosting     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Mifumo ya benki na kazi zake

Hapa utajifunza kazi za benki.

Soma Zaidi...
Makosa Yanayofanywa Wakati wa Swala

Swala ni nguzo ya pili ya Uislamu baada ya Shahada na ni ibada ya kwanza ambayo mja atahisabiwa nayo Siku ya Kiyama. Kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa, Muislamu anatakiwa kuiswali kwa usahihi kulingana na mafundisho ya Mtume Muhammad (Swalla Allahu Alayhi Wasallam). Hata hivyo, watu wengi hufanya makosa mbalimbali wakati wa swala, mengine kwa kutokujua na mengine kutokana na uzembe. Makosa haya yanaweza kupunguza thawabu za swala au hata kuifanya swala kuwa batili. Katika makala hii tutajifunza makosa ya kawaida yanayofanywa wakati wa swala, madhara yake, na namna ya kuyarekebisha.

Soma Zaidi...
Saumu (funga)

Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Nguzo za kufunga ramadhani

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Hili ndio lengo la kufunga.

Ni kwa nini Allah ametutaka tugunge. Je kuna lengo gani hasa katika kufunga.

Soma Zaidi...