Chemsha bongo namba 18

21.

Chemsha bongo namba 18

Chemsha bongo 18

imageimage
21.Mti mtu
Vijana wawili marafiki, mary na Huruma walikwenda kutembea. Kwa bahati mbaya mvua ikwanyeshea. Wakakimbia huku na kule. Wakiwa wametota vibaya, wakaona kibanda, wakaingia na kukausha nguo zao kwa moto. Baada ya duda mchache nguo zao zilikauka.

Wakiwa na njaa kali wakaamua wakatafute matunda. Kila mmoja akaenda upande wake. Kwa bahati mbaya mery alikanyaga mtego wa kichawi na kugeuka mti. Katika kuzunguka huruma akapita eneo lile ambalo mery amegeuzwa mti

Huruma akasikia sauti ikimwambia 'Rafiki yako amegeuzwa mti, tunakupa chaguo moja tafuta ni mti upi ni rafiki yako. Ukikosa na rafiki yako ataendelea kuwa mti' unadahi ni mti upi Huruma angeuchagua

Jibu
Kwakuwa mvua ilinyesha miti yote itakuwa ina maji, ila mary alikuwa amekausha nguo zake hivyo mti ambao ni mery utakuwa ni mkavu.


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Author Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or WhatsApp Imesomwa mara 509

Post zifazofanana:-

Vyakula vya vitamini D na faida zake
Soma Zaidi...

Allah(s.w) Amnusuru Ibrahim (a.s) na Hila za Makafiri
Pamoja na kudhihirikiwa na ukweli wa udhaifu wa miungu wa kisanamu, watu wa NabiiIbrahiim(a. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEKUNYWA SUMU
Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu. Soma Zaidi...

HISTORIA YA MTUME YUNUS(A.S)
Nabii Yunus(a. Soma Zaidi...

Namna ya kujitwaharisha mkojo wa Mtoto mdogo Najisi Hafifu
Soma Zaidi...

Hii ndio namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume s.a.w
Mtume (s. Soma Zaidi...

Hoja juu ya hitajio la kuzibiti uzazi na uzazi wa mpango
Soma Zaidi...

kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa na masundosundo
Soma Zaidi...

GEOGRAPHY NECTA PAST PAPERS REVIEW PAPERR 07
242. Soma Zaidi...

Makemeo juu ya Zinaa na Hukumu kwa Wazinifu.
Tendo la zinaa ni tendo chafu kimaadili na Allah (s. Soma Zaidi...

MAANA YA Quran
Maana na majina ya Quran Maana ya Wahyi. Soma Zaidi...

Quran si Mashairi kama wanavyodai makafiri
(i)Dai kuwa Qur-an ni Mashairi aliyotunga Muhammad (s. Soma Zaidi...