Chemsha bongo namba 17
5.
Chemsha bongo 17
![]()
![]()
5.Mpira hudunda.
Mpira hudunda, na wakati mwinginge ukiupiga unaweza kudunda na kukujia mwenyewe. Lakini leo Mchezaji mmoja wa mpira alipiga mpira pila ya kidunda sehemu na mpira ule ukamrudia mwenyewe. Unadhani ni mwanini mpira ulimrudia bila ya kudunda mahali?
Jibu
Ni kwa sababu mpira aliupiga kuelekea juu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Author:
Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23
Topic: Chemshabongo
Main: Post
File: Download PDF
Views 2611
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina