Bongoclass ni nini, ipo wapi bongoclass na ni zipi kazi zake?

Bonoclass ni muunganiko wa maneno mawili, kutoka katika lugha mbili yaani lugha ya kiingereza na lugha ya kiswahili.

Bongoclass ni nini, ipo wapi bongoclass na ni zipi kazi zake?

MUKHTASARI KUHUSU BONGOCLASS

Utangulizi

Bonoclass ni muunganiko wa maneno mawili, kutoka katika lugha mbili yaani lugha ya kiingereza na lugha ya kiswahili. Maneno hayo ni 'bongo' kutoka katika lugha ya kiswahili na 'class' kutoka katika lugha ya kiingereza. Neno 'bongo' maana yake kwa lugha ya kiswahili ni ubongo, akili au maarifa. Na neno class katika lugha ya kiingereza ni darasa. Muunganiko wa maneno haya mawili ndipo tunapata bongoclass.


Nini maana ya bongoclass?


Kilugha kama tulivyoona hapo juu bongoclass ni darasa la kutumia akili na maarifa. Kulingana na malengo ya tovuti hii neno bongoclass lina maana kuu zifuatazo:
1.Bongoclass ni darasa la kutumia akili na maarifa
2.Ni darasa linaloshirikisha akili na maarifa kutoka watu mbalimbali
3.Bongoclass ni darasa la kutumia akili na maarifa katuka kutatua matatizo na changamoto
4.Bongoclass ni darasa la kutumia maarifa katika kuingiza kipato
5.Bongoclass ni darasa la kutumia akili na maarifa katika kutumia fursa zilizopo.


Bongoclass ni nini hasa?


Kama utachanganya maana zilizopo hapo juu kwa pamoja unaweza kupata maana halisi ya bongoclass kwa mujibu wa tovuti hii. Kwa hivyo tunasema kuwa:-


Bongoclass ni darasa la kushiriika akili na maarifa kutoka kwa watu mbalimbali katika kutumia fursa zilizopo ili kuzalisha kipato na kuleta maendeleo katika jamii.


Hiyo ndiyo maana halisi ya bongoclass kwa mujibu wa tovuti hii. Maana hii itaendelea kutumika kwenye blog zetu nyingine na kwenye huduma zetu nyingine. Bongoclass tunashirikiana na wadau mblimbali na lengo letu kuu ni kuleta maendeleo katika jamii kwa kiasi tutakachoweza.


Tunatumia jina hili katika social media kama bongoclass kwenye facebook, instagram, twitter na youtube. Tutaendelea kutumia jina hili katika maeneo yeyote ambayo huduma zetu zitaweza kupatikana. Ukiwa na maoni ama mapendekezo na maswali wasiliana nasi kwa mawasiliano yetu. Bofya hapa kupata mawasiliano



HUDUMA ZETU


Kama maelezo ya hapo juu yanavyojieleza yenyewe kuwa tunatowa huduma ya kielimu katika jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Na huduma hii inatolewa bure bila hata ya malipo yeyote. Kwa ufupi wa maneno zifuatazo ndizo huduma ambazo bongoclass inatoa:-


'Kutoa elimu katika jamii kuhusu maswala yote ya afya, afya ya uzazi na mlo kamili, elimu ya dini, elimu kuhusu matumizi ya sayansi na teknolojia, elimu kuhusu sayansi ya viumbe na kilimo, pia tunatoa msaada kwa wanafunzi wa mashuleni. Mwisho tunatoa elimu inayochangamsha akili kama game, maswali na nahau, methali na vitendawili bila kusahau chemshabongo.


'Tunatoa burudani kwa watu wa rika zote. Burudani tunayotoa ni utunzi wa hadithi tamu na murua zinazoweza kusomwa na watu wa rika zote. Bila kusahau chemshabongo ambazo huburudisha na kuchangamsha akili. Tunakupatia game rahisi kuzicheza.


'Tunaunga, kutengeneza na kusambaza vitabu kupitia tovuti yetu na blog yetu. Vitabu hivi ni vya bure. Ni vijijarida vidogo vilivyokusanya mada zihusuzo afya, dini na burudni. Unaweza kudownload moja kwa moja ndani ya tovuti hii bila hata malipo.


'Tunatengeneza tovuti na kuboresha, tunafungua blog na kuziporesha. Hapa tunalenga kuwasaidia mablogger walio wachanga katika ujuzi huu. Lengo letu ni kusaidia maendeleo ya sayansi na teknolojia yaweze kufika mbali kwa kutumia lugha ya kiswahili.


'Tunatengeneza App za android. Hii ni kwa ajili ya bishara. Hapa tunakwenda kuwasaidia wafanyabiashara kuweza kufikia malengo yao ya kukuza majina yao, kampuni na kuwafikia walengwa kwa urahisi kabisa kupitia simu za mkononi.


'Tunatangaza matangazo mbalimbali katika blog na tovuti yetu. Ukiwa wewe ni mfanyabishara na unataka biashara yako ifikie mamia maelfu ya watu. Bongoclass ndio sehemu sahihi kwako. Tutakutangazia biashara yak na utaweza kufikia walengwa wako kwa urahisi zaidi.



Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 207

Post zifazofanana:-

je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?
Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini? Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamini C na faida zake
Soma Zaidi...

Sifa za Wanafiki zilizotajwa katika Surat ahzab
Na waliposema wanafiki na wale wenye maradhi nyoyoni mwao, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawakutuahidi ila udanganyifu tu. Soma Zaidi...

Nguzo 6 za iman ya dini ya kiislamu kwa mafundisho ya quran na sunnah
Nguzo za Imani. Soma Zaidi...

nini maana ya hadathi na ni zipi aina za hadathi na uchafu katika uislamu
Soma Zaidi...

Je siku sahihi yakufanya tendo la ndoa niipi ukipata siku zake za hatari?
Swali langu ni hili doktaJe siku sahihi yakufanya tendo la ndoa niipi ukipata siku zake za hatari? Soma Zaidi...

Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo, na vyakula salama kwa vidonda vya tumbo
Makala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...

Taqwa (Hofu ya kumuogopa Allah) ni popote ulipo
' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '... Soma Zaidi...

Ni wakina nani ni lazima kwao kufunga ramadhani?
Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZ AKWA ALIYEPALIWA AMA KUSAKAMWA NA KUTU KOONI
Soma Zaidi...

Dalili za awali za mimba endapo tu mwanamke ametoka kukutana kimwili na mwanaume
Habari! Soma Zaidi...

Kwanini Uislamu umeipa Elimu nafasi ya kwanza?
Soma Zaidi...