Maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi

Maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi

Sababu za maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi, nini ufanye na dalili za maumivu ya tumbo la chango

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi


MAUMIVU YA TUMBO WAKATI WA HEDHI


Maumivu wakati wa hedhi kama tulivo zoea kuyafahamu kama tumbo la chango, ama chango la wananwake. Kitaalamu maumivu haya yanatambulika kama dysmenorrhea. Ni maumivu ambayo wanayapata wanawake walio katika umri wa kupata hedhi, na mara nyingi yanakuwa ni chini ya tumbo. Kikawaida maumivu haya ni ya kawaida kiasi hayamfanyi mwanamke kushindwakufanya kazi zake. Lakini wakati meingine yanaweza kuwa makali kiasi cha mwanamke kushindwa kufanya kazi. Kuna sababu nyingi za maumvu haya na dalili zake. Makala hii itakwenda kuangalia sababu za tumbola hedhi ama maumivu ya tumbo la chango, dalili zake na nini afanye.


DALILI ZA MAUMIVU YA UMBO LA HEDHI AU CHANGO
1.maumivu ya chini ya tumbo. Maumivu haya ynaanz kidogo kidogo na kuongezeka.
2.Maumivu ya tumbo yanayoanza siku moja ama tatu kabla ya kuingia hedhi na huweza kuendeea kwa siku 2 ama tatu baada ya hedhi
3.Maumivu ya tumbo ya kawaida
4.Maumivu kwenye mgongo na mapaja.


Baadhi ya wanawake pia wanaweza kupata dalili zifuatazo:-
1.Kichefuchefu
2.Kupata kinyesi laini
3.Maumivu ya kichwa
4.Kizunguzungu


SABABU ZA MAUMIVY YA TUMBO LA CHANGO AU TUMBO LA HEDHI
Wakati wa hedhi inapokaribia tumbo la mimba linajikunja na kukaza ili kuondoa tishu (nyamanyama) zilizoota ndani ya tumbo. Wakati huu mwili huzalisha homoni ijilikanayo kama prostagladins ambayo ndio husaidia kuondoa tishu za ziada zilizoota wakati tumbo lilipokuwa tayari kupokea ujauzito. Katika kuodolewa tishu (yamanyama) kizi ndipo mwanamke hupata maumivu ya tumbo la hedho au maumivu ya tumbo la chango.


Walio hatarini zaidi maumivu haya kuwa makali sana
Katika hali ya kawaida maumivu ya tumbo la chango ama maumivu wakati wa hedhi sio makali kiasi hiko cha kuharibu shughuli za kawaida. Ila huweza kutokea wakati mwingine yakaongezeka zaidi ya kawaida. Hii ni kutokana na uzalishwaji wa hmoni kwa wingi. Lakini pia wapo watu wapo hatarini katika hili, yaani maumivu ya tumbo la chango yanaweza kuzidi:-



1.walio katika umri chini ya miaka 30
2.Waliovunja ungo wakiwa na umri wa mika 11 ama chhini ya hapo
3.Kama unapata damu nyingi wakati wa hedhi
4.Kama hedhi yako inarukaruka
5.Unawza pia kurithi hali hii kama ipo kwenye ukoo wenu
6.Kama unavuta sigara




                   


Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Main: Afya File: Download PDF Views 550

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 kitabu cha Simulizi    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

   Dalili na sababu zinazopelekea matatizo ya ugonjwa wa ngono.
Dalili na sababu zinazopelekea matatizo ya ugonjwa wa ngono.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili zilizopo katika matatizo ya ngono.

Soma Zaidi...
Dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo.
Dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo.

Posti hii inahusu zaidi jeraha kwenye ubongo hasahasa jeraha la kawaida yaani lisilokuwa kali, ni jeraha ambalo utokana na ajali au kupigwa na kitu chochote kwenye kichwa, zifuatazo ni dalili za jeraha lisilokuwa la kawaida kwenye ubongo.

Soma Zaidi...
 MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO: kuliwa kwa tishu, damu, ini na nyama, kuisha damu, kutapika,
MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO: kuliwa kwa tishu, damu, ini na nyama, kuisha damu, kutapika,

MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika.

Soma Zaidi...
Malengo ya elimu katika uislamu
Malengo ya elimu katika uislamu

Nini malengo ya elimu katika uislamu(EDK form 1, malengo ya elimu katika uislamu

Soma Zaidi...
Kivimba kwa neva ya macho
Kivimba kwa neva ya macho

kuvimba kwa neva ya macho, fungu la nyuzi za neva ambazo hupitisha taarifa za kuona kutoka kwa jicho lako hadi kwenye ubongo wako. Maumivu na kupoteza maono kwa muda ni dalili za kawaida za kivimba kwa neva ya macho ambayo kitaalamu huitwa neuritis ya o

Soma Zaidi...
Faida za mbegu za maboga
Faida za mbegu za maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za maboga

Soma Zaidi...
    Dalili na Ishara za utasa kwa wanaume.
Dalili na Ishara za utasa kwa wanaume.

posti hii inaonyesha dalili na Ishara kuu ya utasa wa kiume ni kutokuwa na uwezo kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kuwa hakuna dalili nyingine dhahiri.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa
Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa

Soma Zaidi...