MASHAIRI

Picha ya Kitabu Cha  mashairi
KITABU CHA MASHAIRI

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Picha ya SABABU YA NENO LAKO
SABABU YA NENO LAKO

Sababu ya neno lako, nasema nimesikia,Sababu ya neno lako, nasema hongera pia,Sababu ya neno lako, nishajua yakonia,Wasema afukuzwae, sihadi pasemwe...

Picha ya ndege wafikishe
NDEGE WAFIKISHE

NDEGE WAFIKISHE Hebu paa ndege paa, ufise habari hizi, Ufike wanako kaa, imi kufika siwezi, Paa bila kuzubaa,...