nataka niunganishe namba yangu kwa mtu mwingne ili kama kuna sms nimetumiwa ianzie kwa huyo mtu

Ikiwa nataka niunganishe namb yangu kwa mtu mwingne il kama kuna sms nime2miwa ianzie kwa huyo mtu nifanyeje?

nataka niunganishe namba yangu kwa mtu mwingne ili kama kuna sms nimetumiwa ianzie kwa huyo mtu

Ikiwa nataka niunganishe namb yangu kwa mtu mwingne il kama kuna sms nime2miwa ianzie kwa huyo mtu nifanyeje?



Namba ya swali 021

Unayo computer?



Namba ya swali 021

Hapana nina sim ya kawaida (sio smart)



Namba ya swali 021

Ok kwa ufupi ni kuwa hiyo huduma nibya gharama, pia ni siri ambayo inaweza hata kukufungisha. Na wengi wanaodai kutoa huduma hiyo ni matapeli. Na wala usipite taabu sana kutafuta hii huduma. Kwani walionayo ni wachache na wanayoa kwa siri. Ila kama ungelikuwa unayo pc ningekupa kaujanja flani



Namba ya swali 021

Ahaa, tatzo cna pc, nina simu ya kawaida ya battan



Namba ya swali 021

Na kwa kutumia call divert na call fowading je?



Namba ya swali 021

Hizi haziwezi ku divate sms



Namba ya swali 021

Naweza kufanyaje?



Namba ya swali 021

Ungelikuwa na PC kina App inaitwa might text ukiiweka kwenye slimu na kwwbye pc. Basi hiyo simu ikiwa online sms zinawenda kwenye pc.... Togautibna hapo, sina msaasa zaidi. Lamsa endelea kuwatafuta wanaotoa huduma hii, ikankuwa makini wwnhinni matapeli, na ni hatari pia



Namba ya swali 021

Kumbe hapo ntakuw nimeshindw, jap imefka nusu



Namba ya swali 021
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Mengineyo Main: Jifunze File: Download PDF Views 1593

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

More

Bila shaka umefurahishwa na huduma zetu, Je unataka huduma zaidi, Bofya kityfe cha Open hapo chini.

Soma Zaidi...
ABOUT BONGOCLASS

learn English Vocabulary

Soma Zaidi...
NAMNA YA KUFANYA KILA KITU KWA VITENDO KUTUMIA PICHA, VIDEO AMA SAUTI

Jifunze kufanya mambo mbalimbali kwa vitendo, kwa kutumia picha, sauti ama video

Soma Zaidi...
Vitabu

VITABU: Karibu kwenye Maktaba yetu ya vitabu, hapa utaweza kusoma na kudownload vitabu vyetu bure.

Soma Zaidi...
Tembo

Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama tembo

Soma Zaidi...