Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Vp me nina tatizo kupasuka mdom yaan kubabuk
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1251
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba niulize mtu anaweza kubeba Mimba akifanya mapenzi akiwa period
Pia Kuna uwezekano mwanamke kua na ujauzito pasipo discharge yaani kutokwa na damu
Je kama baada ya kumaliza hedhi nikakutana na mwanaume ndani ya wiki moja nikaanza kujiisi vibaya kichwa kinauma kizunguzungu nidalili pia za mimba
Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn
Aaww. SHUKRAN Kwa elimu juu ya sanda . Swali langu ni Hili: kamba ktk sanda ya like zinakatwa zote kutoka katika majamvi Yale mawili?
Habari je mtu Mjamzito tumbo hujaa gesi mara kwa mara