SWALI:
Samahani kwa usumbufu naomba tu kuuliza au kupata ushauri kutoka kwenu, Mimi ni mjamzito ninaujauzito wa miezi 3 sasa lakini nimeamka asubui kwenda kukoga nikakuta chupi imechafuka pasipo maumivu ya aina yoyote Yale Ila imetoka kidogo tu Je, hii inakuaje inakua hivi au nifanyaje ili hali hii isiendelee? Maumivu yoyote sisikii kabisaa niko vizuri
Swali No. 1261
JIBU:
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1261 )
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 21-05-2023-14:00:38 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp