Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Unaweza kukaa siku ngapi baada ya kumaliza siku za hatari ili kupima ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 767
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari,,naomba kukuuliza nimetumia Kinga ya kijit Cha miak mitatu,, Ila nimechelewa kikitowa na mara ya mwisho kuona hedhi ni tarh 4 mwez wa pili na natumikaga mpaka cku kumi na mbili ndo anakat Sasa tok hapo cjapat Tena inawezekan nikapata ujauzito ikiwa bado Nina Kinga ambaayo bado cjaitowa na imeisha muda wake? ahsantee
Ninailo tatizo la fangasi ya koo nifanyeje
Je? Unaweza kupata ujauzito pindi umejamiana ukiwa siku salama. Kabla ya sku tatu kupata hedhi?
Lkn me najiulizaga swali korona virus na hiv ni virus kuna maemo wanasemaga virus hatibiki Sasa kama hatibiki why wanaweza kutibu korona afu ukimwi hawawez kutibu ? Embu nisaidie dr kama unauwelewa ju ya hilo jambo nalojiuliza
Je,mtu akiwa ameasirika alafu akameza dawa je majibu yatato vp??
Dalili za kichwa kuuma na kizungu zungu zina ashilia nn