Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Maji maji ya njano ukeni inaweza ikawa Ni dalili ya ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1255
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina irregular hedh tangu nakua lkn niliambiwa Nina ovarian cyst, homornal imbalance, na mayai hayajakomaa nilipewa dawa za kutumia lkn hazikusaidia
Je? Ikiwa n ujauzito matone ya dam hutoka kwa siku ngap?
Habari za kazi mkuu,ninalo swali kuhusu vitamin,k,inafanya kazi gani kwa mwili wabinadam
Samahan mm napata maumivu baada ya kumarza tendo randoa shda inakuwa nn hasa pia ume wangu unasima kidogo unakuwa meregea hauwi mgum ashda nn hasa
Lkn me najiulizaga swali korona virus na hiv ni virus kuna maemo wanasemaga virus hatibiki Sasa kama hatibiki why wanaweza kutibu korona afu ukimwi hawawez kutibu ? Embu nisaidie dr kama unauwelewa ju ya hilo jambo nalojiuliza
Je maji kwenye ovari ni dalili ya kukaribia kwa hedhi?