SWALI:

ona Dokta tumbo linajaa halafu naona kizungu zungu halafu nahisi kama kunakitu kinatembea tumboni
 lakini nimezuia kublid. kama mwezi mmoja t
 je nikitu gani

Swali No. 207




JIBU

Hiyo gesi inayojaa ndio husababisha kuhisi vitu vinatembea. 

 

Unaweza kuwa haipati choo vizuri. Jaribu kinywa maji menhi, kula matunda na tumia dawa za kupunguza gesi. 

 

 



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 06-02-2023-14:37:36 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA