Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tumbo linapata gas nalinajaa sana. Kunawakati nahisi vitu vinatembea timboni
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 463
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari ndugu nina mtoto wa miezi5 ana tatizo la kukoroma lina miezi miwili sas kapatiwa tiba ila bado ana koroma tu dawa alizo tumia ndo Izo ila tatizo liko pale pale
Nina umri wa miaka 21 msichana naomb uxhaur nilitoka period siku ya 5 nikakaa siku mbili nikafanya mapenz je naeza pata miba
Mke wangu ni mjamzito anategemea kujifungua mwezi huu ila naja amelala na maumivu ya tumbo mpaka asubuhi . ila muda huu amenipigia simu kuwa anaona matone ya damu yanatoka ukeni pa maumivu yanaendelea.
Habari naomba unisaidie mm niliingia period trh 25 mwez wa kwanza nkamalza thr 31 nikasex na mume wang trh 11 sasa huu mwez wa pili cjaingia period nashindwa kuelewa naomba unisaidie
Ni msichana namiaka 30.nahitaji kujua dawa ya chango.
Naomba kujua dawa za kushusha pressure nazipatje ninaitaji ninasumburiwa na pressure