SWALI

Maana Mimi mke  wangu tarehe ya kujifungua iliyokadiriwa ni 11/3/2023 lakin naona saiz kama anadalili za uchungu anaumwa tumbo ,uchovu mwingi,mtoto anashuka chini,nk

 

 

Swali No. 323
JIBU

Hizo sio dalili za uchungu. Dalili hizo zinaonyesha tu kuwa muwe tayari tayari muda wowote anaweza kupata uchungu. Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 15-02-2023-12:28:48 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA