SWALI

Mimi ni msichana wa umri wa miaka 25, nimeingia kwenye hedhi mara ya mwisho tarehe 15 mwezi wa 3, nilibadilisha mazingira na kwenda mkoani kwenye wiki hiyo ya hedhi na nilivyorudi   nikakutana na mwanaume siku ambayo kwenye mzunguko ilikuwa salama. Hedhi ya mwezi wa 4 imechelewa imeanza wiki ya 3 sasa, nimepima kwa UPT imeonyesha positive. Je inawezekana kuwa nilikutana na mwanajme siku ya hatari kwamba mzunguko ulibadilika au vipi !!?

Swali No. 1189


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1189 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 05-05-2023-07:09:12 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA