SWALI

Tarehe 25 mwezi uliopita  hedhi yangu ilianza  na siku ya tatu nikafanya tendo LA ndoa    sasa inaeza kua nilipata ujauzito hau LA kwa sababu naumwa na mgongo na pia matiti zinauma na matiti zenyewe zimebadilika , sasa Jana nikaenda hoc nikapimwa nikaambiwa Sina ujauzito ,sasa tafadhali naomba mnisaidie

Swali No. 244


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 244 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 09-02-2023-11:59:31 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA