Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Uislamu unatufuunfisha kuwa yupo kwenye makosa yule anayedai riba, anayetoa riba, anayepokea riba, anayeandika mikataba ya riba ama deni la riba na anayeshuhudia.
Kama upo kwenye ofisi ambayo hasa lengo lake ni kujihusisha na mikopo ya tiba, basi utakuwa kwenye makosa.
Allah anajuwa zaidi.