Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Sababu zinazopelekea kutofikia lengo la zakka na sadaka
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 731
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi ni Binti wa miaka 24 ,Niko na mchumba ila ni Wa dini nyingine yaan christian nimejaribu kumshawishi na Kwa kiasi Fulani anakaribia kuelewa juu ya uislam , swali langu ni kwamba ni Kwa namna gani naweza mshawishi zaidi na vitu gani nifanye baada ya yeye kukubali kuwa Muslim? Assalam aleykhum!
Naomba nifundishwe jinsi yakunuwia swala ya ijumaa
As,alykum,فتنةا،نقلب علاوجهه ndugu .muislamu,naomba,nisaidie,endapo nitasimama kwenye,neno fitnatun.neno la mbele nitalianzaje?
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
Hivi ktk uislam inaruhusiwa kumuoa mtu niliyemtia mimba ikiwa bado hajajifungua?
Swali langu ni... Tunafahamu kuwa mtu anapotaka kuoa,lazima awe na mashahidi wke wawili. Sa nauliza hawa mashahidi inaruhusika mtu kueka brother wake ama ni awe mtu mwenye hawahusiani naye...?
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?