Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Swalat haja inaswaliwa muda gani. Na rakaa ngapi. Na surat zip unatakiwa kuzisoma
Utaswalibmuda wowote, utawaona sura zozote, utaanza na rakaa mbili, utazidisha rakaa kadiri uwezavyo
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nataka mafunzo ya swala ya ijumaa
Nina penda ni jue ni haram kula chakula kilicho nunu liwa na bwana sio mme mwezi wa Ramadan naombeni mnijulishe shekhe wangu
Maana ya tawafu ni nini
Dai lakuea mtume muhammad anafundishwa quran na watu na udhaifu wa madai haya
Mimi ni Binti wa miaka 24 ,Niko na mchumba ila ni Wa dini nyingine yaan christian nimejaribu kumshawishi na Kwa kiasi Fulani anakaribia kuelewa juu ya uislam , swali langu ni kwamba ni Kwa namna gani naweza mshawishi zaidi na vitu gani nifanye baada ya yeye kukubali kuwa Muslim? Assalam aleykhum!
Asante sana na swala ya saa nane usik ina laka ngapi