Swali #1292
18-06-2023 05:19:31
<p>Assallam Allykum, sorry Kuna Wana ndoa waligombana na katika huo ugomvi mume akamtamkia mkewe kuanzia Leo sio mke wangu Kwa talaka Moja, alaf hata nusu saa haikufika mume akaomba radhi Kwa mkewe na kufanya tendo la ndoa Kwa madai ya kutengua talaka je, mume yupo sahihi kweli ktk hili?!</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1292