SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1087 21-04-2023 04:58:53

<p>Smhn n binti mwenye miaka 21 nna tatizo la kutokwa na maji ukeni kama maji ya kawaida tu na n mengi kias kwamba sometym yanaweza vuja had yakanloanisha nguo ya nje na ndani pia, hayana harufu yoyote, na pia sometym mengine yanakuw ya njano, asa hili tatizo gan docta maan nna hofu sn</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1087

MASWALI YANAYOFANANA