Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ikiwa umepima mara kadha hamna majibu hapo unakuwa hauna au?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 13
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
nini husababisha maumivu ya kichwa mara kwa mara
Samahani mimi ni msichana wa umri miaka 21 mmoja wapo ninae sumbuliwa na maumivu hayo makali chini ya kitovu upande wa kushoto na wakati mwingine hupelekea maumivu hayo kwenye mguu upande huo nilikuwa na hitaji maelekezo zaidi kuhusu maumivu hayo na jinsi ya kuyatibia
Ni chakula kipi kinafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari asubuhi?
Je unawezaa kutokaaa maji maji meupee na kiuno kumaa nakuachiaa ni dalili za kujifungu pia ama mtoto anageukaa tu
Mpenzi wanguu alimeza dawa ya kuzuia mimba mara mbili na akatokwa na damu kidogo ikawacha na kwa sasa amepima mimba mara mbili na inaonyesha kuwa hana ujauzito ila leo kaniambia anaskia kuchefukwa na roho je inaweza kuwa ni tatizo gani ama ana ujauzitoo???
Samahani nawezaje kujua week za ujauzito