Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahani nawezaje kujua week za ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 146
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Jee mwanamke anayewashwa kwenye ukee.na yuko wiki ya 37 ni dalili za kujifungua?
Vp me nina tatizo kupasuka mdom yaan kubabuk
Nilitumia contraception after sex baada ya twelve hours bt ninaona matone ya damu kidogo kidogo kunauwezekano nimepata mimba?
Je, mtu anaweza pata ujauzito akishiriki tendo siku ya 11 katika mzunguko wake,, na dalili za ujauzito zinaonekana kwa muda gani baada ya kushiriki tendo?? na kutokwa na uteute wenye rangi nyeupe mzito unaweza kuwa dalili ya ujauzito??.
Hello ukiwa umelala na mtu alafu condom ikapasuka gafla ukatoa apo kwa apo je unaeza athirika na ugonjwa
Ninasiku kama yatatu kichwa kinauma nakinapoa bado sijui nikitu gani naomba msaada