Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kutema mate,kukauka lips,n maumivu y tumbo inatokana n nini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 315
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
habar nilikua naulize mm mzunguuko wangu mfupi je 25 nilipata pld tareh 27 nika maliza tareh30 nikashiliki tendo tareh 6 ss sijielew mpaka ssiv na mda wakuona pld umepita ila leo nimeona pld ila nyepes alafu ndogo je nnaweza kua namimba mana naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili wangu umechoka
Niko na vitu kama upele kwa makwapa je shida inaeza kua nini
Hya maumivu n yatadumu kwa muda gan au mpaka nijifunguee
Samahani docta ukitumia p2 cku ambayo nimefanya mapenzi alafu cku ya tatu pia nikafanya mapenzi na nikasahau kumeza p2 je inaweza kuleta shida
Maji maji meupe ukeni naomba kujua chanzo chake na tiba yake kama mgonjwa anadalili ya fangasi.
Hivi kw mfano tupu mbili zikakutana ya kike na yakiume lkn ile ya kiume ikawa haijazama ndani yaani namaanisha imeekeshwa tu kweny uke bila kuzama ndani ule uume je panauwezekano wa kupata mimba