SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1252 21-05-2023 13:51:27
Question Icon

Samahan nime nilifanya mapenz na mtu mwenye ukimwi ila nikawa nimemaliza massa 24 kabla sjafka kwenye kituo Cha afya baada ya apo ndo nikajua mwenza wangu nimdonjwa nikaenda wakanipa izo dawa za prepo

 

Nime maliza masaa 24 kabla ya kuchukuwa dawa izo za prepo ila wakanipatia ivyo ivyo naweza saidika apo naizo dawa doct baada ya kuzitumia

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1252

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi