Swali #485
24-02-2023 09:07:36
<p>Nimejifungua Tarehe 21/02/2023 Mtoto Akiwa Kafa Muda Kama Wiki 3 Hivi Na Kazaliwa Haeleweki Ana 200gm Na Sura Hamna Ni Jinsia Tu Na Mimba Yangu Ilikua Ya Miezi 7 Tatizo Linaweza Kua Ni Nini? Na Nikae Muda Gani Niwe Tayali Kupata Ujauzito Tena?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 485