SWALI

Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini

Swali No. 176

JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 176 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 04-02-2023-14:29:36 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp

MASWALI YANAYOFANANA

Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini

SWALI

Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini

Swali No. 229
JIBU

Kushika ujauzito kunategemea na mambo mengi. Kwanza vyema mkapate vipimo kati yenu ili kujuwa kama kuna tatizo. 

Kwa mwanamke ataangalia kama ana uwezo wa kupata ujauzito,  na hapo ni kuangalia uwepo wa mayai na afya yake. Pia afya ya kizazi na mirija kama haijaziba. 

Endapo yeyevhana tatizo na wewe inatakiwa uoatebvipikonkujuwa kama mbegu zako zina afya njema. 

Baada ta hapo endapo wote hamna matatizo itabidi mkeobapatiwe dawa za homoni ili kukomaza mayai mengi. Ili kuongeza nafasibyavkubeba mimba. 

Mtashauriwa pia kuhusu vyakula na muda wa kutafutavujauzito. Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 07-02-2023-18:09:40 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp

MASWALI YANAYOFANANA