Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nlikuw nnaswali vidonda vya tumbo pia vn virusi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1268
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mim naumia tumbon nasikia maumivu makali misuli inavuta.pia nikila chakula nashiba upande mmoja nashindwa kujua shida nn
Na je hiv vipimo vya kujipima mwenyewe vya mate ni vya kwel au some time huwa vinakosea
Ulimi Ume meguka meguka Kam kuliwa liwa iv nini tatizo?
Kaka yangu ikifika mchana yaani saa sita anaanza kuona kizunguzungu ana kaa chini au sehemu ya kivuli ndoo inapoa sasa nini matibabu yake
Kipimo Cha u.t.i pia kina weza kugundua mimba
mimi nina minyoo na wasikia kabisa wakiwa wana tembea nyuma nime tumia dawa ya Albendazole lakini bado napata dalili za minyoo