Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hbr......je kuhusu mkojo wa mama mjamzito unakuwa n rangi gan?? Asante
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 314
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari ndugu yangu, mimi nimesoma kuhusu HIV, Ila nimepima mwezi wa November kwa kweli nilikua sawa lakini kufika mwenzi wa kwaza na wapili hadi watatu kunabiti nilifanyanae mapenzi bila kupima, kweli kwa sasa dalili nyingi nimesoma hapo kwa kweli nimeaza kuisi nikama nimeazirika namagonjwa ya zina, ila naogopa sana kwenda kupima
Habari mimi naomba kuuliza nikila chakula tumbo linachafuka, muda ule naanza kuharisha
Nina mkewangu hapa anasumbuliwa na mapigo ya moyo kwenda mbio pia mwili kuishiwa nguvu
Mimi nililala na Mwanamke mwenye ameathirika niko na wiki mbili saii je nitasaidika kweli
Hv ukishiriki na mtu mwenye ukimwi waweza pata papo kwa papo
Samahan naomba kuuliza je Romanc yaani Denda linaambukiza Vvu?