SWALI:

Kisonono ni nini na kinaambukizwaje?

Swali No. 1301




JIBUKisonono ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria. Huambukizwa kupitia ngono isiyo salama.



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:28:47 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA