Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninapo rehem Niki Soma jina la marehem nasemaje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 882
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ushindi gani waliupata waislamu kwenye mkataba wa hudaybia
Nko na swali wakat unaanza kula unatamka vip. Bismillah Rahman Rahim ama watamka Bismillah pekeake.
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ Jee inafaa kwa mtu mwenye madeni kutoa zakatu fitri?
Asalaam alaykum w wabarakat ustadh je kama umeshiriki tendo la ndoa ktk mwez wa ramadhan kisha ukapitiwa na usingiz mpaka alfajir ikafika ukawa ujajitwaharish je unaweza kuendelea na swaum bi maana swaumu yako itaswihi
Ni nini kifanyike ili lengo la nguzo za uislamu zifanikiwe. Hoja nne
Nauliza kama aujui kusoma Quruani na unaswali kila kipidi cha swala je kunapungufu apo