Swali #824
22-03-2023 04:24:35
<p>Dokta habari ya leo samahani mpenzi wangu limemsumbua sana tumbo kama siku 4 ama5 hivi, na nilivyo angalia tumbo lake nimeona mchilizi mweusi umetoka kwenye kitovu je hii nayo inaweza kuwa dalili ya mimba?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 824