SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1175 04-05-2023 12:25:39

<p>Nimeona darsa kidogo juu ya suala la talaka.swali langu ni je??..kama umempa talaka moja mkeo bila ya mashahidi waadilifu.je kuna tatizo katika uhalali wake??</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1175

MASWALI YANAYOFANANA