Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninailo tatizo la fangasi ya koo nifanyeje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 794
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari za asubuhi. Nmesoma kwa makini sana kazi za protini mwilini. Lakin pia nmesoma ikizidi sana mwili matatizo yake. Nauliza kama ikizidi inakuwa shida ni kiwango gani cha protini mtu atumie kwa siku na ale na wanga kias gani?
Mimi ni muhanga wa uvimbe kwenye titi na ninanyonyesha
Nina umri wa miaka 19 jinsia wa kiume ninatatizo la kuwashwa kwenye korodani na ninatokwa na vipele baada ya kujikuna mbaka leo hii ninasiku ya 6 na tatzo hili n mala ya kwanza kunitokea naomba msaada
nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini kushoto wa tumbo yanayopelekea nahisi kama mmeng'enyo na kuwaka moto sana .
Vilevile Katika UKE natokwa na majimaji yenye harufu mbaya na ute wa rangi ya njano maziwa hv.
Sijajua tatizo ni Nini haswa na nawezaje kupata matibabu ya matatizo haya , nikapona kabisaa
Je ulcers na vichomi vyaweza sababisha kutoona siku zako
Kuna madhara gani ninapotumia dawa za uzazi wa mpango yaani kuzuia mimba