SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #417 20-02-2023 06:14:35

<p>nina kizunguzungu nini tatizo maana siumwi kitu</p>

JIBU

Kizunguzungu kinaweza kusababishwa na: -

1. Kupungua maji mwilini 

2. Presha ya damu kushuka ama kupanda zaidi

3. Mashambulizi ya virusi mwilini

4. Kupata woga juu ya jambo fulani

5. Majeraha kwneye kichwa. 

 

Kunaweza kuwa na sababu nyingine zaidi.  Jambo la msingi hapa ni kufanya vipimo kwanza endapo kizunguzungu kitakuwa ni endelevu. 

 

MASWALI YANAYOFANANA